Matthew 17:24

Yesu Na Petro Watoa Kodi Ya Hekalu

24 aBaada ya Yesu na wanafunzi wake kufika Kapernaumu, wakusanya kodi ya Hekalu
Kodi ya Hekalu ilikuwa didrachmas, yaani drakma mbili, ambazo ni sawa na nusu shekeli.
wakamjia Petro na kumuuliza, “Je, Mwalimu wenu halipi kodi ya Hekalu?”

Copyright information for SwhNEN